14 Sep 2016

TUMIA NDOA YAKO KUFIKIA MALENGO YAKO

Ndoa ni kitu chema ambacho Mwenyezi Mungu amekiweka ili kila binadamu aishi katika utukufu hapa duniani,maandiko Matakatifu yanatueleza kuwa Mungu alipomuumba Adam aliona sio vyema Adam aishi peke yake,ndipo Mungu akamuumba Hawa, ili asaidiane Adamu na waweze kuzaliana ili waijaze Dunia. Ndoa...

5 Sep 2016

FAHAMU FURUSA ZINAZOPATIKANA KATIKA MJI WA DODOMA NA JINSI YA KUZIMUDU KWA KIPATO CHAKO.

Utangulizi. Tanzania ni moja ya nchi zilizobarikiwa sana na Mwenyezi Mungu Kuwa na fursa mbalimbali za maendeleo kulingana na Jeografia ya nchi yetu, fursa ambazo zimetumika na baadhi ya watanzania na wawekezaji kutoka nje ya Nchi kujipatia maendeleo na kuwa matajiri wakubwa.       ...